Uchaguzi 2020 Anayetaka kumpigia kura Dkt. Magufuli katika uchaguzi huu asifuatilie Kampeni za Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Anayetaka kumpigia kura Dkt. Magufuli katika uchaguzi huu asifuatilie Kampeni za Tundu Lissu

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,172
Reaction score
3,082
Mimi baada kufatilia mikutano ya Lissu Kanda ya Ziwa pamoja na Press conference aliyofanya Mwanza Leo, nawashauri wale wote wenye adhma ya kumchagua JPM basi waache mara moja kufatilia mikutano ya Tundu Lissu vinginevyo nawahakikishia watabadili maamuzi.

Jamaa anatema nondo sijapata ona.

Chonde chonde, nawaomba!
 
Kuna chizi mmoja anasema Lissu Hana kumbukumbu, Lissu huyu aliesababisha Magufuli adai vitambulisho vya machinga si lazima? hivi Polepole anajua ni Watanzania wangapi wamedhalilishwa Kwa kukosa hiki kitambulisho? Lissu huyu aliesabisha ajira zitolewe katikati ya kampeni?. Kama kuna mtanzania yoyote aliepitia madhila haya atamchagua huyu MTU nitashangaa.
 
Mkutano wa Waandishi wa habari Mwanza umetoa taswira ya LISSU ni nani
 
Lisu alisema amesema leo asubuhi kuwa watashusha Bei za Vifaa vya ujenzi. Watanzania watapata unafuu wa Bei na kujenga Nyumba Bora. Serikali itapunguza Kodi kwenye cement, Nondo, mabati, etc
 
Mkutano wa Waandishi wa habari Mwanza umetoa taswira ya LISSU ni nani

Nimesikiliza kwa makini, na nimefurahishwa na hili Jambo.

Kupunguza Kodi kwenye cement nondo mabati ili Vifaa vya ujenzi viwe Bei nafuu .
 
Ukifatilia utagundua kumbe kweli jiwe alisukumiziwa urais.
 
Kuna chizi mmoja anasema Lissu Hana kumbukumbu, Lissu huyu aliesababisha Magufuli adai vitambulisho vya machinga si lazima? hivi Polepole anajua ni Watanzania wangapi wamedhalilishwa Kwa kukosa hiki kitambulisho? Lissu huyu aliesabisha ajira zitolewe katikati ya kampeni?. Kama kuna mtanzania yoyote aliepitia madhila haya atamchagua huyu MTU nitashangaa.
Tutake radhi mkuu, ajira zipi zimetoka kati kati ya kampeni! Zimetoka ajira au tangazo la ajira?
 
Jamaa yuko makini sana, nimependa alivozungumzia organization yao ya 2020
 
Mimi baada kufatilia mikutano ya Lissu Kanda ya Ziwa pamoja na Press conference aliyofanya Mwanza Leo nawashauri wale wote wenye adhma ya kumchagua JPM Basi waache mara moja kufatilia mikutano ya Tundu Lissu vyenginevyo nawahakikishia watabadili maamuzu jamaa anatema nondo sijapata ona .

Chonde chonde nawaomba!
Mimi simsikilizi Magufuli wala simsikilizi Lissu. Lakini hakuna mwanaccm hata MMOJA YAANI HATA MMOJA atakayepata kura yangu.

Kuanzia UDIWANI
UBUNGE
URAIS
KURA YANGU watachukua CHADEMA.
Over
 
Jiwe alikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima, Jana na leo. Ndio maana hakwenda Iringa Kama Kampeni inavyosema.

Mpango Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi
 
Back
Top Bottom