Mkutano wa Waandishi wa habari Mwanza umetoa taswira ya LISSU ni naniKuna chizi mmoja anasema Lissu Hana kumbukumbu, Lissu huyu aliesababisha Magufuli adai vitambulisho vya machinga si lazima? hivi Polepole anajua ni Watanzania wangapi wamedhalilishwa Kwa kukosa hiki kitambulisho? Lissu huyu aliesabisha ajira zitolewe katikati ya kampeni?. Kama kuna mtanzania yoyote aliepitia madhila haya atamchagua huyu MTU nitashangaa.
Mkutano wa Waandishi wa habari Mwanza umetoa taswira ya LISSU ni nani
Tutake radhi mkuu, ajira zipi zimetoka kati kati ya kampeni! Zimetoka ajira au tangazo la ajira?Kuna chizi mmoja anasema Lissu Hana kumbukumbu, Lissu huyu aliesababisha Magufuli adai vitambulisho vya machinga si lazima? hivi Polepole anajua ni Watanzania wangapi wamedhalilishwa Kwa kukosa hiki kitambulisho? Lissu huyu aliesabisha ajira zitolewe katikati ya kampeni?. Kama kuna mtanzania yoyote aliepitia madhila haya atamchagua huyu MTU nitashangaa.
Mimi simsikilizi Magufuli wala simsikilizi Lissu. Lakini hakuna mwanaccm hata MMOJA YAANI HATA MMOJA atakayepata kura yangu.Mimi baada kufatilia mikutano ya Lissu Kanda ya Ziwa pamoja na Press conference aliyofanya Mwanza Leo nawashauri wale wote wenye adhma ya kumchagua JPM Basi waache mara moja kufatilia mikutano ya Tundu Lissu vyenginevyo nawahakikishia watabadili maamuzu jamaa anatema nondo sijapata ona .
Chonde chonde nawaomba!
Wanamkomesha sioNdio maana hapewi coverage yeyote kwenye media ... maana anamwaga upupu balaa ...
Na nyinyi wapinzan punguzeni spana mnataka jpm akate moto mazima ndio mfurahi ?Kuna tuhuma mpya Geita... Wavuvi wanapigwa, wanakufa na kutupwa Ziwa Victoria.
Jiwe aje kujibu hiii pia