miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 624
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miili ya namna hiyo soo unaweza kusema ujipumzishe tu ikawa ndio nitolee roho ikaacha mwili.
-Ndumilakuwili-
HahahaMiili ya namna hiyo soo unaweza kusema ujipumzishe tu ikawa ndio nitolee roho ikaacha mwili.
-Ndumilakuwili-
Hahaha
Balimi?Aanze tumia pombe kali.... Mafuta yatakauka
Lazima ana shinikizo la damu.Pia katika siku za usoni anaweza kupata mstuko wa moyo na kiharusi.Hivi unene kupita kiasi ndio Maradhi ya moyo yanakoanzia
Mwili model huwa unasisimua eti ehh..
Mwili model huwa unasisimua eti ehh..
Kabisa...Hivi unene kupita kiasi ndio Maradhi ya moyo yanakoanzia
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13]Kwa tumbo hilo kama una kibamia kinapotelea kabisa ndani ya mwili unabaki kama uko silidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkumbuki yule kijana nadhani aliitwa Sunday marehemu jinsi ndege zilivyopata tabu namna ya kumpatia seat asione ufahari kuwa na mwili huoKabisa...
Risk ambazo Msechu atakuwa nazo(just matter of time )Heart Attack, hypertension, Kidney problems na magonjwa kibao ya moyo
Ha ha ha ha
Hua najiuliza watu kama hawa hivi wanapiga show zinazoeleweka kweli au ndo kulala kwenye kifua cha mtoto wa watu [emoji2] [emoji2] [emoji2]ngoja apate kisukarina presha na ugonjwa wa moyo ataweka yeye pesa mezani ili apungue