Anayetaka tuanze biashara ya kuuza nguo za mtumba vyuoni

Roseyree

Member
Joined
Oct 16, 2024
Posts
42
Reaction score
78
Hello guys Mm ni muhitimu wa chuo nikaona kukaa tu sio poa niko Dar hapa kuna vyuo vingi natafuta mdada ambae yuko tayali tuanze kupita vyuoni kutafuta wateja na kuuza nguo kwenye hostels tunaenda kufata nguo karume tunaenda kuuza 0625056158
 
Kila la kheri but at your own risk humu mitandaoni utapeli na udanganyifu mwingi sana.
 
Hello guys Mm ni muhitimu wa chuo nikaona kukaa tu sio poa niko Dar hapa kuna vyuo vingi natafuta mdada ambae yuko tayali tuanze kupita vyuoni kutafuta wateja na kuuza nguo kwenye hostels tunaenda kufata nguo karume tunaenda kuuza 0625056158
Lipia tangazo limekaa kijanja sana
 
Hello guys Mm ni muhitimu wa chuo nikaona kukaa tu sio poa niko Dar hapa kuna vyuo vingi natafuta mdada ambae yuko tayali tuanze kupita vyuoni kutafuta wateja na kuuza nguo kwenye hostels tunaenda kufata nguo karume tunaenda kuuza 0625056158
Nimelia sana,graduate kutembeza vinguo vya mitumba hostel,njoo babati nikupe shamba tulime
 
Hello guys Mm ni muhitimu wa chuo nikaona kukaa tu sio poa niko Dar hapa kuna vyuo vingi natafuta mdada ambae yuko tayali tuanze kupita vyuoni kutafuta wateja na kuuza nguo kwenye hostels tunaenda kufata nguo karume tunaenda kuuza 0625056158

Wewe utafika mbali sana Una Entrepreneur mindset

All the best
 
Hello guys Mm ni muhitimu wa chuo nikaona kukaa tu sio poa niko Dar hapa kuna vyuo vingi natafuta mdada ambae yuko tayali tuanze kupita vyuoni kutafuta wateja na kuuza nguo kwenye hostels tunaenda kufata nguo karume tunaenda kuuza 0625056158
Bora hii kuliko kukaa tu nyumbani..mwishoe uone kudanga ndio kazi.
 
Back
Top Bottom