Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mshindi wa kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Mjini, Shabani Kirumbe Ng’enda, ambaye anasubiri kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM, ili kugombea ubunge katika jimbo hilo baada ya kuwashinda wenzake sita akiwemo Baba Levo, amezikataa kura feki zilizokamatwa wakati wa mchakato wa kura za maoni ndani ya CCM kupitia video fupi iliyozagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikionesha kura zilizokamatwa zikiwa zimewekewa tiki katika jina lake ili kumsaidia kushinda nafasi hiyo
Soma pia:
Chanzo: ITV DIGITAL