Anayetumia Pombe, Sigara anaweza kumchangia mtu damu?

Anayetumia Pombe, Sigara anaweza kumchangia mtu damu?

abdulatif himid

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
326
Reaction score
814
Nawauliza wataalamu wa Afya, hususani Damu.

Je, mtu anayetumia Pombe na Sigara haruhusiwi kumchangia mtu Damu?

Kama ni kweli, Kwa nini?

Ndugu yangu ameshindwa kumchangia Mgonjwa Damu kwa sababu tu mdomo wake umeonekana mweusi!

Alipoulizwa na mnasihi kama anatumia vilevi gani, alikiri kuwa anatumia bangi

Akaambiwa kuwa hafai kuchangia Damu!

Je angekuwa amevaa barakoa wangejuaje kama anavuta?

Ushauri; Mtu amekuja kutoa Damu kwa hiari yake, kama Damu yake haifai ikamueni, mwageni tu.

Vingenevyo mnadiscourage Wachangiaji.
 
Miwaya hiyo, sigara na pombe there is nothing to do kwenye damu.
Miwaya sio kweli,ni mtu na Afya yake.
Pia hakufika kwenye hatua ya kupima,amepimwa wingi wa Damu tu!
Mdomo kweli kama kabusu lami.
Ni mkushi kweli,na dealer mkubwa.
Anamiliki vibanda,kasomesha watoto kwa kazi hiyo!
 
Back
Top Bottom