Anayetutawala ndiyo aliepotosha historia yetu

Dunia yakoo

Senior Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
139
Reaction score
214
“Kama utaweza kuwatenganisha watu mbali na historia yao, basi utaweza kuwaongoza unapotaka kwa urahisi” karl max

kupotoshwa kwa historia kumempotosha mwanadamu kuliko kingine chochote kinacho julikana kwa mwanadamu. Jean jacques Rousseau

ufafanuzi katika picha michoro ya upande wa kushoto inapatikana katika jumba la maajabu liliopo misrii pyramid michoro hiyo imchorwa miaka millin years ago. picha za upande wa kulia ni copy kutoka kwenye hizo za kushoto kizazi cha tunachojita cha sayansi na teknolojia. sijui DARWiNG yuko wapi na upotoshaji wa elimu alizopandikiza ulimwenguni kwa vizazi vyetu. mwanadamu alie kuwa nyani uongo na uzushi lengo mimi na wewe tusifahamu hustoria yetu watutawale watakavyo. tusimalize utamu mambo mazuri yanakuja

egypt.jpg
 
point kubwa nazungumzia ni jinsi gani leo tumepotoshwa katika historia yetu. tu follow ili uweza kupata makala yetu soon tunaleta makala zenye shahidi
Point noted tunatanguliza shukrani.
 
Mzee hapo kilichopotoshwa ni nini? Hizo picha za kuokoteza kufanana? Kwanza hata havifanani, na hata kama vingekuwa vinafanana sio ishu, kwani vingi duniani hufanana
 
“Kama utaweza kuwatenganisha watu mbali na historia yao, basi utaweza kuwaongoza unapotaka kwa urahisi” karl max

kupotoshwa kwa historia kumempotosha mwanadamu kuliko kingine chochote kinacho julikana kwa mwanadamu. Jean jacques Rousseau

ufafanuzi katika picha michoro ya upande wa kushoto inapatikana katika jumba la maajabu liliopo misrii pyramid michoro hiyo imchorwa miaka millin years ago. picha za upande wa kulia ni copy kutoka kwenye hizo za kushoto kizazi cha tunachojita cha sayansi na teknolojia. sijui DARWiNG yuko wapi na upotoshaji wa elimu alizopandikiza ulimwenguni kwa vizazi vyetu. mwanadamu alie kuwa nyani uongo na uzushi lengo mimi na wewe tusifahamu hustoria yetu watutawale watakavyo. tusimalize utamu mambo mazuri yanakuja

View attachment 1282865
Hata jina lake limekushinda ndo utaweza kumkosoa.
 
Back
Top Bottom