Anayeua kwa upanga hufa kwa upanga

Anayeua kwa upanga hufa kwa upanga

fullcup

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
809
Reaction score
2,204
Hiki ni kisa halisi

Katika kisa hiki ufanano wa matukio na majina ya wahusika uchukuliwe kuwa ni bahati mbaya.

Chapisho hili halitatumika Kama ushahidi na lisinukuliwe Kama sehemu ya ushahidi. Limeletwa hapa kwaajili ya ushauri na maoni tu.

Back to the topic

Mwaka huu mwezi na tarehe isiyojulikana Kuna kijana mmoja(tumuite Mfudikile) alikamatwa Kwa wizi. Huyu jamaa yeye alikua na shamba la viazi mviringo katika eneo lenye mashamba mengi. Mfudikile alishavuna viazi kwenye shamba lake lakini mbegu(viazi vidogo) hakutoa. Kwasasa ni marehemu na ameacha mke na watoto mkubwa anamiaka 5 na mdogo mwaka mmoja.

Hiyo siku ya tukio alfajiri alichukua baiskeli yake aina ya phoenix (Anita) na kwenda shambani kukusanya mbegu(viazi vidogo). Alikusanya mpaka mchana akaenda nyumbani kupiga lunch Kisha kurudi Tena kuendelea na kazi.

Bwana Mfudikile alipiga kazi mpaka saa kumi akawa na debe 5 za mbegu na akaamua azigawanye katika ubebaji kwasababu alikua peke yake shambani. Debe tatu za mwanzo alipeleka nyumbani na debe mbili alirudi kuchukua wakati kigiza ndio kinaingia na mpaka anafika shambani tayari ilikua ni usiku.

Alifika shambani, akapakia viazi vilivyobaki na kuanza safari ya kurudi nyumbani . Kutoka shambani mpaka kwake ni km mbili. Akiwa anatumia tochi ya kiswaswadu alishangaa ghafla tochi imepigwa na yeye akapigwa na mwanzi na kuanguka chini. Akiwa chini alipigwa na mawe(vipande vya tofari za kuchomwa) na fimbo huku wanaompiga wakisema wamempata mwizi wa viazi vyao. Baada ya kisago heavy wakambeba na kumpeleka ofisi ya Kijiji usiku huo huo akiwa na Hali mbaya saana.

Mwenyekiti hakuwepo ofisini lakini alipigiwa simu na kufika ofisini. Alipo fika akauliza tukio lipoje akaambiwa jamaa ni mwizi kithibitisho wanacho viazi debe mbili.

Wahusika wa tukio na ndio waliompeleka Mfudikile walikuwa watatu tuwape majina ya MNYEKE, MBYO na MDELE na alieibiwa ni MNYEKE. Mwenyekiti akashauri apelekwe zahanati Kwa kupata kibali toka polisi. Polisi Rujewa walipewa taarifa na wakashauri apelekwe dhahanati ya karibu wakati barua ya matibabu watakuja nayo asubuhi(kata hiyo Haina kituo Cha polisi). Polisi walipata taarifa usiku huo na kutoa ruhusa ya matibabu na wao wangefika asubuhi. Kutokana na Mfudikile kuwa na Hali mbaya watuhumiwa wakakimbia kusikojulikana usiku huo huo na wakati polisi wanafika asubuhi mgonjwa akafariki na watuhumiwa hawapo. Polisi wakaanza upelelezi Kwa kuongea na mke wa marehemu.

Mke wa marehemu alitoa maelezo yake na viazi vilivyopo nyumbani na vile alivyoshikwa navyo vilifanana. Viazi vya MNYEKE vilikuwa vikubwa na havikufanana na vile alivyoshikwa navyo Mfudikile. Polisi wakaamuru jamaa watafutwe na Mfudikile azikwe. Kabla ya mazishi ndugu wa Mfudikile walienda alipopigiwa ndugu yao na kuzoa udongo wenye damu na kuufunga kwenye nguo za marehemu zenye damu alizokuwa amevaa siku ya tukio na kuhifadhi.

Polisi waliomba serikali yakijiji iwape taarifa iwapo watapata fununu za walikokimbilia watuhumiwa wa mauaji yaani MNYEKE, MDELE na MBYO na wao wakarudi mjini. Msiba ulienda salama jamaa alizikwa, lakini mpango wa tatu ndugu wa Mfudikile walisema hawatatoa tatu mpaka haki ya marehemu ipatikane .

Ndugu wa watuhumiwa waliingia woga baada ya kusikia ndugu wa Mfudikile wamepanga jambo kupitia zile nguo na udongo wenye damu(kutengenezwa tego). Wakaenda Kwa mwenyekiti wa serikali ya Kijiji na kuomba suluhu. Ndugu wa MNYEKE, MBYO na MDELE walisema uhai haununuliwi na haufidiwi lakini kwakua ndugu zao wamekosa wanaomba suala la ndugu zao na serikali liendelee na wao wakisikia walipo watasaidia kutoa taarifa lakini ugomvi baina ya Koo hizo na ukoo wa marehemu waumalize Kwa wao kulipa faini.

Serikali ya kijiji iliwaita ndugu wa pande zote na kuwapa Wazo la upande wa ndugu wa watuhumiwa. Ndugu wa marehemu waliomba muda wa kutafakari. Mwisho walifikia hitimisho kuwa mke wa marehemu alipwe milioni 10 Ili apate msingi wa kulea watoto.

Makubaliano yalishafanyika na Hela zilishalipwa kwenye ofisi ya Kijiji lakini polisi hawajui. Wale wauaji mpaka Sasa inasemekana wamepigika na ugonjwa mbao hata madaktari hawauoni ila wanaisha tu. Walikamatwa Dutumi huko wakiwa dhahanati wamelazwa.

Nini maoni Yako kuhusu uamuzi wa ndugu wa Mfudikile?
 
Aisee ukiua lazima uuliwe
 
Hiki ni kisa halisi

Nini maoni Yako kuhusu uamuzi wa ndugu wa Mfudikile?
Kesi ya mauaji sio ya ndugu wa aliyeuwawa ni ya serikali dhidi ya wauaji. Kwa hiyo hizo M10 walizotoa ni ahueni ya mjane lakini kesi ya mauaji iko pale pale. Hiyo sio ajali ya gari ya askari kusema nendeni mkapatane
 
Ni uamuzi mzuri wenye tija mke kapata mwanzo mwema wenye matumaini.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
"ukiishi Kwa upanga na utakufa Kwa upanga, Mungu ndiye anayepanga kila kitu Kwa kila mtu"~II Proud (GWM ft II Proud-Yamenikuta)
 
Back
Top Bottom