Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa TZ huwezi sajili line kwa jina lako labda uende kenya mkuu.Mie nataka laini ya safaricom, ila nataka kujua kama naweza isajili kwa jina langu, nipo dar. Nahitaji kwa ajili ya Mpesa na Paypal.
anapatikana wapi huyo chalii?Check huyu dogo telegram anazo kama zote...
Tafuta username hii @Champioboy au 0753118226 au scan qr code ya account yake
View attachment 3015420 kama una telegram
Uwe na passport yako tuBasi ntaenda Tarakea, vp ntapata pale?
Ninayo ila nipo dar. InakuwajeUwe na passport yako tu
Lazma uwe boda ndo zinakopatikana ukitaka kwa jina lakoNinayo ila nipo dar. Inakuwaje
Huyu ashawahi niuzia ila yuko arusha na si daranapatikana wapi huyo chalii?
huwezi sajili kwa jina lako kama wew sio mkenyaMie nataka laini ya safaricom, ila nataka kujua kama naweza isajili kwa jina langu, nipo dar. Nahitaji kwa ajili ya Mpesa na Paypal.
Mwana sana uyu nipo nae apa NamangaCheck huyu dogo telegram anazo kama zote...
Tafuta username hii @Champioboy au 0753118226 au scan qr code ya account yake
View attachment 3015420 kama una telegram
Nikitumiwa KES 12800 kutoka Mpesa Kenya, nitapokea TZS ngapi kwa Mpesa Tanzania?Mwana sana uyu nipo nae apa Namanga
259k rate ya leo mpesaNikitumiwa KES 12800 kutoka Mpesa Kenya, nitapokea TZS ngapi kwa Mpesa Tanzania?
Kwa passport unasajilihuwezi sajili kwa jina lako kama wew sio mkenya
paspot kubwa sio?Kwa passport unasajili
Naam,paspot kubwa sio?