chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,500
teh...tehee...... asante sana
tehe...tehee... hujatulia hata kidogo jitahidi usahau basiChanda mambo vipi bna, file mbona limekwama
eddo kumwembe haswaa simpendi kwa ukosefu wake wa adabu, 5/julay 1982 mjili lindi mtaa wa kawawa, tuko chobingo tunasubiri wahindi watoke jamatini ili mhindi mmjawapo rafiki yetu atuonyeshe mkanda wa mechi kati ya brazil na argentina world cup ya mwaka 1982, mechi iliyochezwa 2julay 1982 ambayo brazil iliibuka mshindi kwa bao 3-1.
Enzi hizo wajanja tulikuwa tunajipendekeza kwa wahindi ambao walikuwa na video kwenye jamatini zao walikwa na kanda za world cup lizokuwa zinatoka tv of zambia kwa kutumia yale mamikanda makubwa kama mikate
tulikuwa mimi wakati huo nasoma chuo kikuu nilienda lindi kufanya field work sokoine regional hospital pia alikuwepo advovate kumwembe ambae nahisi ndiye baba yake eddo kumwembe aliyekuwa anaishi ligula mtwara alikwenda lindi kwa shughuri zake za kiuwakili na rafiki yetu sengwaji aliyekuwa anafanya kazi tanesco lindi katika mechi hiyo alikuwepo yule gwiji wa kabumbu wa kizazi cha kati diego maradonna
ilikuwa hivi sengwaji alilopoka eti maradonna ni zaidi pele advocate kumwembe aling`aka na kumwamba aache kumlinganisha pele na maradonna kwa sababu maradonna hamfikanii pele hata kwa nusu.
Mala nyingi nimeona katika articles zake nyingi huyu dogo kumwembe anamponda pele mbele ya maradonna wakati sisi pele tumemwona na maradonna tumemwona watu hawa hawalinganishiki
kwa hiyo kuanzia hapo huwa nimwamwona dogo huyu hana nidhamu kwa hiyo kila anachosema huwa siafiki.
huyo dokta! Nimeelewa wenga tu,hayo mengine mbona sio kingon!!
Eddo Kumwembe haswaa simpendi kwa ukosefu wake wa adabu, 5/julay 1982 mjili lindi mtaa wa kawawa, tuko chobingo tunasubiri wahindi watoke jamatini ili mhindi mmjawapo rafiki yetu atuonyeshe mkanda wa mechi kati ya Brazil na Argentina world cup ya mwaka 1982, mechi iliyochezwa 2Julay 1982 ambayo Brazil iliibuka mshindi kwa bao 3-1.
Enzi hizo wajanja tulikuwa tunajipendekeza kwa wahindi ambao walikuwa na video kwenye jamatini zao walikwa na kanda za world cup lizokuwa zinatoka tv of Zambia kwa kutumia yale mamikanda makubwa kama mikate
Tulikuwa mimi wakati huo nasoma chuo kikuu nilienda Lindi kufanya field work Sokoine regional Hospital pia alikuwepo Advovate Kumwembe ambae nahisi ndiye baba yake Eddo Kumwembe aliyekuwa anaishi Ligula Mtwara alikwenda Lindi kwa shughuri zake za kiuwakili na rafiki yetu Sengwaji aliyekuwa anafanya kazi Tanesco Lindi katika mechi hiyo alikuwepo Yule gwiji wa kabumbu wa kizazi cha kati Diego Maradonna
Ilikuwa hivi Sengwaji alilopoka eti Maradonna ni zaidi Pele Advocate Kumwembe aling`aka na kumwamba aache kumlinganisha pele na Maradonna kwa sababu Maradonna hamfikanii pele hata kwa nusu.
Mala nyingi nimeona katika articles zake nyingi huyu Dogo Kumwembe anamponda Pele mbele ya Maradonna wakati sisi Pele tumemwona na Maradonna tumemwona watu hawa hawalinganishiki
Kwa hiyo kuanzia hapo huwa nimwamwona dogo huyu hana nidhamu kwa hiyo kila anachosema huwa siafiki.
Mkuu kwa miaka 22 toka kuanzishwa kwa CDM kuna kitu chochote tangible ambacho wameweza kuacomplishEddo kucha zako zitunze maccm hayapendi kukosolewa yanapenda kusifiwa.
ha ha jamaa yupi? mtoa mada ama huyo wa story zilipendwa za 1982? wenga nitondili..nelonda kuligana huyo wa 1982..ha ha sijui nimepatia..lol!
Thread imeenda shule sana dah...lakin n mwendelezo tu wa malalamiko next tym inabidi zije thread za nin kifanyike...