Anayeuza mitungi mitupu ya gesi tuwasiliane

Massawe909

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
310
Reaction score
472
Habari wakuu
Kwa yoyote alie kuwa anafanya biashara ya kuuza gesi na sasa kabadili biashara, anataka kuuza mitungi mitupu tuwasiliane.
Nataka kuanza hii biashara so natafuta mitungi mitupu kwa bei poa kidogo
Asante.
 
Duuu katavi mbali sana mkuu mimi nipo dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…