Anayeweza kunipa connection ya kupata aina hii ya magari

Anayeweza kunipa connection ya kupata aina hii ya magari

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
74
Reaction score
134
Kwa yeyote anaejua mtu au mahali ambapo wanauza magari aina ya "Mercedes-Benz G-Class" au "Gelandwagen" kama linavoonekana hapo chini naomba anisaidie kuna mtu anafanya biashara ya kuyanunua hata kama yakiwa ni mabovu "Wrecked".

Mobile Number: 0783 242247 & 0621 703279

1631169588391.png
 
Back
Top Bottom