Kwanza kabisa binafsi nashindwa kuelewa, mwanzo nilipenda sana kuwa na uhusiano na mwanamke mwenye umbo dogo.ilitokea hata kutumia muda mwingi sana kumtafuta binti mmoja mwenye sifa ambazo mimi nilihitaji.
Sielewi, maana yaweza kuwa alijua nahitaji mwenye sifa kama zake maana kamwe hakuwa tayari kabisa kuwa na mi.
Siyo hapo tu hapo kabla ilitokea kupendwa na wasichana wengi sana kwa wakati tofauti wote wakiwa na hisia za kimapenzi na mimi, sikutaka kukubali nikidhani kufanya hivyo kutanipunguzia alama kwa msichana niliyemtaka hivyo nilikataa katakata!
Sasa leo nimejua kuwa siku zote binadamu wanapenda watu wanaowasumbua na wanapowapata hujisifu kuwa wao ni hodari huku wakiacha watu wawapendao kwa dhati.
Naweza kusema kuwa kwa yeyote mwanamke ambaye anaweza kuniamini, anipe nafasi akiwa na mapenzi ya dhati, akahitaji kuniona na tukaanza courtship bila shaka mwaka mmoja unaweza kutosha kujuana kitabia na kuanzisha maisha. Naomba nisieleweke vbaya Napatikana kwa 0753 288 177 au e.mail: lugayila2@gmail.com