Anayeweza kutibu pumu kwa njia ya mitishamba

Njoo PM nikusaidie Ndugu yangu........Haina gharama sana ni Kuku Mdogo anayefaa kuliwa (Atakula Mgonjwa mwenyewe bila kutafuna Mifupa Kwa Siku Tatu) Mifupa ataileta kwangu, Pumu ikirudia Narudisha pesa...........!!!!
Mkuu.....
Hizi biashara za PM sio sawa kabisa, wakati mtu ameomba msaada kwa anawefahamu.
 
Njoo PM nikusaidie Ndugu yangu........Haina gharama sana ni Kuku Mdogo anayefaa kuliwa (Atakula Mgonjwa mwenyewe bila kutafuna Mifupa Kwa Siku Tatu) Mifupa ataileta kwangu, Pumu ikirudia Narudisha pesa...........!!!!
Huo sio ushirikina kweli? Maana kama narudisha mifupa kwako
 
Jamani naombeni anayemfahamu mtu anayetibu pumu kwa kutumia miti shamba anijulishe
Jaribu majani ya mmea huu "Catharanthus roseus". Anika majani hayo katika kivuli na yakikauka, ya chome na mfukizie mgonjwa moshi wake. Wengi yamewasaidia. Mmeo huo hutumika kama maua.
 
Jamani naombeni anayemfahamu mtu anayetibu pumu kwa kutumia miti shamba anijulishe
Kuna mzee rafiki yangu, alikuwa na hiyo dawa, lkn kwakuwa ni mda ngoja nimtafute ntakucheki iwapo ntampata jamani poleni
 
Nyongeza
14 chukua simbi kiasi cha kujaa mkono kamulia ndimu 10 zile simbi zitayeyuka kunywa kijiko kimoja asubui na jioni

15 chukua karafuu 6 zitoe vikonyo loweka kwenye maji grasi moja usiku mpka asubui ikifika asubui toa zile karafuu afu kunywa yale maji
Fanya hivyo kwa siku 15 mpka 21 mfululizo
 
Jamani naombeni anayemfahamu mtu anayetibu pumu kwa kutumia miti shamba anijulishe
Mkuu Ushauri uliopewa ikiwa bado haujapona nitafute mimi nipate kukutibai hiyo Pumu yako upate kupona.

Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…