Worldmusicpartner
New Member
- Sep 11, 2022
- 1
- 4
Pesa zipo?Kama unakipaji cha kutunga nyimbo tuwasiliane kuna Beat ipo inatakiwa kutungiwa nyimbo kali yenye melody nzuri kifupi HIT SONG.
Hakikisha unaujua muziki na unajua muziki unaotakiwa kwa sasa kwenye soko, hakikisha unajua kutunga melody kali.
Nahitaji HIT SONG.
Karibu tufanye biashara[emoji120][emoji120][emoji120]
Mungu atakusaidia kijana wenzanguNi matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote