Anayoyaongea Polepole ni kwa maslahi ya nani na kwa nini?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
Nimekuwa nikimfuatilia huyu mtu,ni dhahili Polepole anatumika na kundi fulani lakini je kundi hilo ni kwa ajili ya nini na inalenga nini?

Sioni dhamira anayoilenga huyu mtu,bali matamko na codes zake zinalenga kuichonganisha serikali na vitengo vyake jambo ambalo sisi wananchi hatulitaki.

Huyu jamaa ni wa kupuuzwa.
 
Umelipwa bei gani?
 
Mpuuze wewe
 
Sema hutaki wewe. Usiwaongelee watu wote sema wee hutaki . Wewe ni chawa
 
Kwa maslahi ya watanzania.... Nyie si mmebaki kupeana sifa na mafisadi?
 
Lile bao la.mzee wako ndio limekuleta duniani wewe kiumbe cha ajabu
 

Nyinyi wananchi mlikubaliana wapi kuhusu jambo mlilokataa? Je katika anayosema lipi linalenga kumchafua mtu au taasisi?
Kupuuzwa inawezekana kama mambo yamekaa sawa. Kuna hoja kama hizi za wizi na ufisadi wa mali ya umma sio za kupuuzwa. Hela za walipa kodi zinataka uwajibikaji.
Badala ya kusema wananchi tunakataa au tupuuze, kwanini tusiwe kila hoja yake sawa kwa majibu wazi na yaliyonyooka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…