mwanamasala
JF-Expert Member
- Jun 20, 2009
- 248
- 12
Assume Tony Blair wa Uingereza wakati yuko madarakani anaanziasha kampuni na mkewe,Cherie ,wanaiita CHETON Ltd.Then wananunua mgodi wa makaa ya mawe huko Wales.Pesa hizo za kununua zinatoka benki kubwa nchini Uingereza,Natwest na Barclays! Wakati huo waziri wake wa fedha au viwanda, Gordon Brown alishalala na Cherie muda mrefu uliopita.
Mtoto wa Tony Blair anakuwa na kampuni yake ,ni shareholder vilevile
wa mgodi na wake na baba mkwe wake!
Wananchi wa Uingereza hawawezi kukubali huu ujinga!Let alone watu wa Labour party! Itakuwa aibu kwa nchi duniani kwamba Tony Blair alifungua kampuni akiwa Downing Street,itaishushia nchi heshima na ofisi ya 10 Downing street!
Kwa ujumla hii scenario haiwezi kutokea Uingereza! Civic society ni very powerful, Bunge ni powerful, magazeti hata watu wenyewe! Sijui watu wangapi wanajua Tz kwamba Mkapa alikuwa na kampuni Ikulu?
Mkapa & Co wametufanya sisi manyani. CCM imetuangusha! Dr Slaa tu ndio amesimama kidete. Bila ya yeye tusingejua kitu. Mkapa & co wako wanatembea mtaani na matumbo yao.