ANBEM Ltd

mwanamasala

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2009
Posts
248
Reaction score
12
Assume Tony Blair wa Uingereza wakati yuko madarakani anaanziasha kampuni na mkewe,Cherie ,wanaiita CHETON Ltd.Then wananunua mgodi wa makaa ya mawe huko Wales.Pesa hizo za kununua zinatoka benki kubwa nchini Uingereza,Natwest na Barclays! Wakati huo waziri wake wa fedha au viwanda, Gordon Brown alishalala na Cherie muda mrefu uliopita.

Mtoto wa Tony Blair anakuwa na kampuni yake ,ni shareholder vilevile
wa mgodi na wake na baba mkwe wake!

Wananchi wa Uingereza hawawezi kukubali huu ujinga!Let alone watu wa Labour party! Itakuwa aibu kwa nchi duniani kwamba Tony Blair alifungua kampuni akiwa Downing Street,itaishushia nchi heshima na ofisi ya 10 Downing street!

Kwa ujumla hii scenario haiwezi kutokea Uingereza! Civic society ni very powerful, Bunge ni powerful, magazeti hata watu wenyewe! Sijui watu wangapi wanajua Tz kwamba Mkapa alikuwa na kampuni Ikulu?

Mkapa & Co wametufanya sisi manyani. CCM imetuangusha! Dr Slaa tu ndio amesimama kidete. Bila ya yeye tusingejua kitu. Mkapa & co wako wanatembea mtaani na matumbo yao.
 
Mwanamasala,
Ikiwa uafuatilia mfano wako hauko mbali na hali halisi ilivyo huko Uingereza, hivi sasa Wabunge, Mawaziri akiwemo na Waziri mkuu wako katika mchakato wa kurudisha Mapesa kwenye mfuko wa walipa kodi. hii ni kwa mara ya pili. Na matukio haya yamewatia doa wanasiasa na kuna wanaochunguzwa na Polisi na kunauwezekano wa kufikishwa Mahakamani.kwa nini kwetu kunakuwa na kiza kingi Mwanasiasa anapokosea?
 
Hey, ww wacha kelele si mshaambiwa na ze foma intelligent guy, Mr. Mizengo Pinda, kuwa Mkapa ni mtu saaaaafi, mchamungu...sijuwi vp...vp...vp...

Na Mitanzania mibwegeeeee...imelala usingizi....inakoroma..kroo...kroo...kroo, wamenyamaza kimya

...eti Chama chao wanaambiwa kina wapiganaji wa ufisadi vinara hao, wapo mstari wa mbele kupinga ufisadi, cha ajabu wengi ya hao wakati Mkapa anaiba na mai waifu wake wakiwa ikulu kama yao vile, walikuwa pamoja nao ...leo wanajidai eti wanapinga ufisadi

...Mitanzania imekaa ...inasubiri uchaguzi mwingine wachague viongozi hao hao...ken yuu imejini watu mnakaa na system miaka 45 hakuna la maana lilifanyika na bado wameing'ang'ania tuuu, hataaa...sikubali lazima vichwa vya wananchi hawa vina matatizo ...pengine ya akili kutokana na stress za maradhi,ujinga na njaa na ufisadi.
 
Alibaba,huwezi kufananisha overclaim ya wabunge wa uingereza na mambo ya TZ!
hawakufanya wizi wa mali ya taifa na kusign mikataba mibovu.
 
Sio hayo tu, nasikia hata flat alilokuwa anakaa see view aliwatimua wapangaji wenzake na kulimiliki mwenyewe. Serikali hiyo hiyo ikashupalia hadi kieleweke, ikawa siku ya kwanza, ikawa siku ya pili. Sasa ndiyo tofauti ya Tanzania na nchi nyingine. Nchi nyingine kadhaa kuwa raisi ni kitendo cha hatari kwani familia yako inaweza kutoweka dakika yoyote, lakini Tanzania kuwa raisi ni mwanzo wa ubilionea. Ni haki yao japo haijaandikwa mahali popote.

Leka
 
mhh wanadai serikali imekwisha uchukua huu mgodi na sasa imechukua pia na mzigo wa kuwalipa watumishi malimbikizo ya mishahara ambayo hawajalipwa kwa kipindi cha miezi 12, can you imagine thuis jamani. Sasa rais anaiibia nchi na pia wafanyakazi kw kutowalipa mishahara yao kwa kipindi chote hicho, pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Something wrong with our minds. Baada ya kuuchukua mgodi wanawalipa wafanyakazi arrears. Nina wasiwasi serikali pia itaamua kurithi na deni ambalo haijulikani ANBEN wamelifanyia nini. Hivi kweli ndio mambo yanavyoendeshwa hivyo?
 
Inasikitisha sana kwani tumepata hasara sana kwa kipindi chote ambacho huo mgodi haukuwa unazalisha.
 




unaijua slogan hii.. HE WHO COMES TO EQUITY MUST COME WITH CLEAN HANDS..thats why bongo tunaleana kwa sababu wote hatuko wasafi.
 
Halafu ukiuliza anaseme mna wivu wa kike, mara ooh! wavivu wa kufikiri, ole wake mtu huyu, kama sio hapa duniani atalipa hata mbinguni!


Amen!

Lakini? hivi Mungu akituuliza hivi nyie sikuwapa akili sawa na wenzenu wa UK , France na Germany tutamjibuje?
 
Na Mitanzania mibwegeeeee...imelala usingizi....inakoroma..kroo...kroo...kroo, wamenyamaza kimya

Dear Nd. Junius,
Wala sio uongo hayo uyasemayo Nd. Junius. Ukitaka mabadiliko ya nguvu wengine watakueleza eti huo ni USALITI!!!!!
The only way huu uozo kuondolewa ni kutimuliwa kwa nguvu na wote walioshiriki kwenye ufisadi katika nchi kula risasi!!!! Njia nyengine yoyote is to beat around the bush!!!
Tuamkeni jamani. Watanzania tutatiwa vidole vya macho mpaka lini?????
Hata Nyerere angelikuwa hai leo, basi angelituunga mkono kwenye haya mapinduzi!!!!
 
SAHIHISHO: Si ANBEN ni ANBEM Limited kama ilivyosajiliwa BRELA.

Anbem Limited, Certificate of incorporation number 36547.

Mr Benjamin Mkapa was still the sitting president of the United Republic of Tanzania, while Mama Anna served as the country's First Lady walikuwa ndio wanaahisa wakuu na anuani yao ikiwa 15 Luthuli Road, Upanga area, Dar es Salaam.

Drawn by Kapinga & Company Advocates, Anben registered as limited company to



"carry on business, and to act as merchants, general traders, warehouse, stockist, shopkeepers, and operators of supermarkets, commission agents and carriers."
 
Equal Opportunities for All Trust Fund (EOTF)
15 Luthuli Road
P.O.Box 78262 Dar-es-Salaam
T a n z a n i a
Tel.: +255-22-2114512
Fax.: +255-22-2114793
eMail: eotf@raha.com or eotf@cats-net.com
Web: EOTF.OR.TZ
Information about the fund in Italy
The Embassy of the United Republic of Tanzania,
Villa Tanzania,
Viale Cortina D'ampezzo 185
00135 ROME, ITALY
Phone: +39 - 06 334 85801, 02, 04
Fax: +39 - 06 334 85828



 
Alibaba,huwezi kufananisha overclaim ya wabunge wa uingereza na mambo ya TZ!
hawakufanya wizi wa mali ya taifa na kusign mikataba mibovu.
Ndio hiyo tofauti ninayotaka tuifahamu na kuielewa kuwa Wabunge wa Uingereza wamedai marupurupu waliyokubaliwa na utaratibu uliokuwepo wakati wakiyadai. Baada ya muda kupita wanaambiwa wanapaswa kurudisha kiasi fulani kwani ule utaratibu ulikuwa na makosa.(Kumbuka ulikuwapo na umetumika toka enzi ya mama Thacher)Na Viongozi wa vyama wanawalazimisha Wabunge lazima walipe. Sasa kwetu uliotokea ni WIZI, UBADHIRIFU, UPORAJI nk na hatua zilizochukuliwa ni Finyu Wanasiasa wanakingiana vifuwa Vyombo vya Dola haviwezi au vimezuiwa kutekeleza wajibu wake. Kwa hiyo sifananishi najaribu kupambanua, juu ya Watu waliofuata utaratibu wakalipishwa na vyombo vya Dola vikafutilia baadhi yao, na Wezi Waliokwiba na kupora Wanapeta katika mitaa ya Bongo, jeuri na maneno ya fedheha wanatoa!
 
Dear Nd. Junius,
Tuamkeni jamani. Watanzania tutatiwa vidole vya macho mpaka lini?????
Hata Nyerere angelikuwa hai leo, basi angelituunga mkono kwenye haya mapinduzi!!!!

Walichofanya ni kuhakikisha mzee wa watu kule Mwitongo hapumui, baada ya kumuwekea mkakati na BEN alijifanya anamuhimiza kwenda kuangalia afya kisha waka........maskini leo wanatafuna maisha kwa UHAI wa Nyerere!!!!!!!!!!!!!! Oleee wao tutakutana nao mbinguni..
 
Their hands stained of blood...
Their legs rushing to murder...
Their heads confused of stealing...
Their hearts fed with corruption...!
Mungu saidia hawa watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…