nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,250
If they want to brainwash us they won't stop, they have alternative...i doubt whether these footprints will date back in the ages of zinjanthropus....perhaps they should also try the DNA traces in these footprints...something i think won't work either..as there is already too much of DNA contamination in these footprints....anyway...good try!....
Ukitaka kuelewa mambo ya evolution lazima ukubali kuna vitu hujui..... halafu utofautishe vitu vinavyoonekana na visivyo onekana kwa macho. Evolution haiangaliwi kwa binadamu tu nikwa wanyama woteNapata utata wa nafasi ya Mungu katika Uumbaji ...!!
Sayansi imejiweka thabit kuonyesha usahihi wa uumbaji,
Japo ....!!
Kitu utakacho kisikia kwa Mzungu huwezi au hakiwezi kupingwa ndio tumeaminishwa hivyo...Kuna anaweza kukanyaga
Swali jengine hivyo viumbe vilivyogunduliwa nyayo zao walikuwa hawana hisia,namaanisha hawakuogopa kuungua na volcanic lava?
Kuna sehemu umesoma au umeona sehemu wameandika kuwa waliopita hizo sehemu na kuacha alama za nyayo waliungua? au unawalisha Maneno yako ya mdomoni? be careful mkuu unapotoa maoni yako yawekee basi Nyama maana mtoto wa primary ndio wanakuwa na maswali ya aina yako...!π‘Kwahiyo wanasayansi wanataka kutuaminisha kwamba hayo madubwana ya kale yalikuwa yana uwezo wa kutembea juu ya ujiuji wa volkano bila kuungua?
Ukweli ni upi?Binadamu wa kwanza !!?? we jamaa acha uongo.
u post: 18081338 said:Moja kati ya swali zuri sana, mi huwa naangaliga tu, ipo siku watagundua kwamba hao viumbe walikuwa erupted pamoja na hiyo volcano, ila tuwaache tu waendelee kufanya excavations tanzanite ikiisha wataondoka wenyewe,
Hakuna ukweli... History is all about lies.Ukweli ni upi?
UjHakuna ukweli... History is all about lies.
Mi siaminiUj
Unaishi kwenye illusions mkuu hivi huamini kuwa dinasour waliishi?
Mi siamini
oni alama ya vidole vya miguu, huenda inamaanisha kuwa waliweza kutembea kwenye volkano inayopoa baada ya kulipuka kwa kutumia kitu maalum, kilichoweza kuvumilia Volkano na kisiungue au kuyayuka. wanamiamba wanaweza kutuambia vitu vichache vinavyoweza kuvumilia Volkano, ambavyo huenda mwanadamu wa kale (Kwa teknolojia ya miaka hiyo) angeweza kutumia.
Mudflats in the shadow of the Ol Doinyo Lengai volcano captured a huge trove of ancient human footprints.
Mkuu hawa jamaa huwa hawakurupuki wanachunguza kwanza ndipo hutoa report... hivyo kuwa mpole tu... nyayo za mtu zliyevaa viatu zinajulikana na nyanyo za mtu atemeaye pekupeku zinaeleweka... hata kama zitaharibika unaweza kustuka...si
oni alama ya vidole vya miguu, huenda inamaanisha kuwa waliweza kutembea kwenye volkano inayopoa baada ya kulipuka kwa kutumia kitu maalum, kilichoweza kuvumilia Volkano na kisiungue au kuyayuka. wanamiamba wanaweza kutuambia vitu vichache vinavyoweza kuvumilia Volkano, ambavyo huenda mwanadamu wa kale (Kwa teknolojia ya miaka hiyo) angeweza kutumia.
ama laa, huenda zikawa kwato za Godzilla au dinosaurs (earlier reptiles) wanatupelekapeleka kuwa ni za mwanadamu, maana mzungu naye, akiwa hana hela kila kitu kwake ni fursa ππππππππππ
Mimi swali langu nauliza ,hao watu wasayansi kwa nini wanasema kuna viumbe vimetoweka duniani na hapo hapo kuna viumbe vyengine vimebadilika kutoka hali moja kwenda nyengine na kwa nini hali hiyo ya kubadilika haiendelei .sisimizi ageuke kuwa ng'ombe.
ndio wa kwanza fuataBinadamu wa kwanza !!?? we jamaa acha uongo.
wa pili? RidhikaBinadamu wa kwanza !!?? we jamaa acha uongo.