And here comes the first beggar

And here comes the first beggar

😂😂😂kufika tu naona anamkumbushia juu ya SGR😂😂😂 Wengine wote walikuwa kimia🙈🙈🙈Unyeee. Pia kuondoka kahakikisha anakaa nyuma yake. 🙈🙈🙊🙊
Aroo kaumbuka angalia kelele za SGR to Malaba zilivyoyayuka humu ndani!
 
Kaguta na Kagame walikuwepo mbona shost walimuacha?
 
😂 😂 😂 Mr mabangi hapo alikua keshajilipua maphantom ya kutosha ili apate nguvu ya kuzungumza utumbo
 
Hahahaha uwiii walahi!
Lakini inasikitisha jamani!
Ehhh Mola tusaidie waafrika walahi!
Hahahaha
 
Back
Top Bottom