And here comes the first beggar

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kufika tu naona anamkumbushia juu ya SGRπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wengine wote walikuwa kimiaπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆUnyeee. Pia kuondoka kahakikisha anakaa nyuma yake. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ŠπŸ™Š
Aroo kaumbuka angalia kelele za SGR to Malaba zilivyoyayuka humu ndani!
 
Kaguta na Kagame walikuwepo mbona shost walimuacha?
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mr mabangi hapo alikua keshajilipua maphantom ya kutosha ili apate nguvu ya kuzungumza utumbo
 
Hahahaha uwiii walahi!
Lakini inasikitisha jamani!
Ehhh Mola tusaidie waafrika walahi!
Hahahaha
 
JPM kiboko walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…