And this is the perfect man

mtoto wa mfugaj

Senior Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
136
Reaction score
29
Find a guy who calls you beautiful instead of hot, who calls you back when you hang up on him, who will lie under the stars and listen to your heartbeat, or will stay awake just to watch you sleep... wait for the boy who kisses your forehead, who wants to show you off to the world when you are in sweats, who holds your hand in front of his friends, who thinks you're just as pretty without makeup on. One who is constantly reminding you of how much he cares and how lucky his is to have you.... The one who turns to his friends and says, 'that's her.

Matamu hayo ukijaaliwa kupata mwenye kujua raha kama hizo! Inshallah Mwenyezi Mungu atupe zaidi ya hayo na Mwezi huu mtukufu.

Ohhhh this seems to be very nice, do you also do the same? don't let him go, tatizo lenu ndio unajiachia weeeeeeeeeeeee mpaka unakua mzigo do the same dada

Mi hayo yote staki.

Aonyeshe ugumu kidogo

Ikiwa too romantic hainogi...

umeona ee? Utaishie kiamaniamani siku zote? Siku nyingine itapendeza ukamfuma kamkumbatia kimada ili mgombane kidogo akuombe na kamsamaha.

umeona ee? Utaishie kiamaniamani siku zote? Siku nyingine itapendeza ukamfuma kamkumbatia kimada ili mgombane kidogo akuombe na kamsamaha.

Mweehhh
FB naona unatumia spaceship kwa
Uasafiri umeenda mbali sana ..
Mdogo mdogo bana, au mwanaume
Tuheshimiane hayo ya Kimanda ni nje
Ya mupaka...rudi ndani kidonchoooo...

Sounds like a poem...yeaah if someone sings for you seems to be very lovely. However,the problem comes for when the one sings it needs to act it...Mapenzi ni sanaa..so, tunafanya sanaa na sisi wote /ke na /me ni full wasanii...

Mi hayo yote staki.

Aonyeshe ugumu kidogo

Ikiwa too romantic hainogi...

we unafaa! tatizo tunapenda maigizo ya kizungu.,ukifanya hivo utaambiwa jamaa anankaba sana,stupid! Ni balaa 2pu

Its good kama akiyafanya yote haya kwa mapenzi ya dhati kabisa toka moyoni. Kama ilivyo ada kwenye msafara wa mamba na kenge pia wamo, I mean hata maplayer nao pia wanazijua sana na tena wanazitumia kama silaha kukupumbaza ili ujione kuwa uko peke yako kumbe unaliwa kekundu!!

Mi hayo yote staki. Aonyeshe ugumu kidogo Ikiwa too romantic hainogi...
You are not right coz if a man is always romantic a girl would probably think he is cheap and act crazy knowing that the boy will forgive , try to be careful with such boys coz either they compliment what they do or they take decisions u would never expect and coz u blv that the boy loves so much you will break your heart abruptly.........siku chache tu zimepita nilikuwa a kind of romantic and the girl wanted to take advantage of me and she was wrong she could not afford loosing me..........jihadhari

tatizo kubwa la hizi purukshani ni kuwa zaweza kuwa hazitoki moyoni........................the guy may merely be patient playing a game as most players do and after he has groomed her to a sexual attack and successful hit her where it hurts most............. that is when his true colours come to the surface......................siyo kabla hajapewa vionjo ni baada ya kumtafuna mtoto wa watu ndiyo utajua hayo yote yalikuwa yanatoka moyoni.............or she was dealing with a confirmed sociopath...................................

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…