π π πIn that day so few men will be left that seven women will fight for each man, saying, "Let us all marry you! We will provide our own food and clothing. Only let us take your name so we won't be mocked as old maids."
mkinipopoa nakimbia naacha lithread lenu,ngoma muicheze wenyewe!πππππ
Nazani ujaelewaaa!! Kuwa muwaziTumia lugha yetu adhimu ya kiswahili ili wengi wapate kuelewa.
Nazani ujaelewaaa!! Kuwa muwazi
Safi sana,umemuelewesha vizuri,nina uhakika yeye mawazo yake aliyapeleka kwenye ngono...hakika kwa huo mfano umemfungua. uwe na jumapili njemaKuelewa nimeelewa, kinachonitatiza au kunitia ukakasi ni lugha. Hayo aliyoyaongea ni maneno kutoka vitabu vya mapokeo yakisema.
"Nyakati za mwisho wanawake saba watamfuata mwanaume 1 na kumwambia, 'tutakula na kuvaa kwa pesa yetu ila tunaomba tuitwe wake zako ".
Kwa wana teolojia wanasema tafsiri ya maneno haya ni kuibuka kwa makanisa mengi nyakati za mwisho lakini yote yakitaka kujinasibisha kama sio kujitanabaisha na Yesu Mnazareti. Hapa mwanamke anasimama kama makanisa mapya ya nyakati za mwisho. Mwanaume anaeongelewa ni Yesu Mnazareti.
Hahaha kuna dildosThe rate at which bros turn tricks, them times are just around the corner. Good times they will be tho. Just add climaxing themselves on those terms, and we'll have a deal.
Hahaha kuna dildos