Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
1 Andaeni mararamiko yenu mapema kabisa kabla ligi haijaanza muyawasilishe pale TFF!
2 Mwaka huu tunachukua makombe yote mpaka na kale kakombe ka ndodo ka mapinduzi halaf tuone kiburi chenu kilipo
3 Cc tushaanza mazoezi ya pre season ninyi mnazurura Morocco ya Buza halaf baadae muanze kulalamika TFF yote ni Simba
4 Simba tunashusha vifaa vya maangamizi (akiwemo na Bob Marley Kibu[emoji1787][emoji1787]) ninyi mnaleta wakongomani wakata mauno mnataka kuanzisha bendi ya bolingo?
Ligi ilipoanza moto ukawawakia kidogo[emoji2][emoji2][emoji2]
6 Hilo sahani la ngao ya jamii nalo kombe sasa hilo, sahani tu hilo. (Wakati mwanzoni walisema watabeba makombe yote[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2])
7 Yanga wanaongozaga ligi hivihivi mwisho wenye kombe tunachukua
8 Round ya pili Yanga watakata moto simba tunachukua kombe mapema tu.
9 kwa Mkapa hatoki mtu
10 wakaokota kombe la mapinduzi, c mmeona tulisema tunayachukua makombe yoteee, tumeanza na mapinduzi mtatueleza vzr mwaka huu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
11 Sakho hatari Anatakiwa Ufaransa wanamhadili kwenye TV za Ufaransa! Mawakala wapo Nchini kumfuatilia Sakho.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ghaflavwakafukuza kocha wakaleta mpanga koni mpya
*Pablo ana kikosi cha majini na Nchi kavu.
Ghafla mambo yakawabadilikia wakaanza kulalamika wao[emoji16][emoji16][emoji16]
12 wakuu wa mikoa wanahonga pesa ili Simba ikamiwe,
13 Gsm wanahonga sana wamezidi sasa cyo poa[emoji2][emoji2]
14 Tunataka fair competition (Hapa waliongozwa na waandishi wao uchwara waandishi wa mchongo kina Jemedari Said, Dauda, Ali Kamwe, Edo Kumwembe n.k)
15 Tff wanaiandaa Yanga kuwa bingwa
16 Tutahamia Zambia
17 Angekuwa anaongoza ligi mwingine tofauti na yanga tungeshituka, lakini kwavile anaeongoza ni Yanga, aaa kombe ni letu!
18 Cc tunachukua kombe la CAF Confederation nyie pambaneni na kombe la mbuzi.[emoji2][emoji2][emoji2]
19 Ligi ni dhaifu
20 Matumaini yetu ni kombe la FA, Yanga wasijipendekeze tunakwenda kuwafanya vibaya pale kirumba(mwisho wa cku kombola la Faitoto limefukuzisha mpanga koni wa Madrid ya mchongo)[emoji2][emoji2][emoji2]
21 tumekuwa tunafukuza mskocha bila sababu.
22 Babra anazereu sana anawazidi nguvu wajumbe hatumtaki,
Kigwangara nae anadai B20 za mchongo ziko wap,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
23 *IYALAAA KOCHA HATUMTAKI PIRA LAKE HATULIELEWI MAJERUHI YAMEKUWA MENGI AONDOKEEEEE, MWISHO KOCHA LA MADRID LENYE PIRA LA KUSHAMBULIA KAMA NYUKI KAFUKUZWA. NA HII NDO MAANA HALISI YA MBUMBUMBU ALIYOISEMA RAGE!
Kifupi safari ilikuwa ndefu mnoo, THE RETURN OF CHAMPIONS imewavuruga sanaaa na bado wananchi hapo tupo kwenye DIBAJI tu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

- Tunashusha bonge la kocha kutoka Madrid,
- Alifanya kazi na Zidane
- Anahusudu soka la kushambulia kama nyuki wa asali