muongozo hauko kwenye "Bob os",upo kwa "matunduizi"Jina la mtu sio Mtu.
kuna kitu unamissi hapo.
Ukiambiwa BOB OS ni Shoga, mana yake ID fake ya mwanadamu mmoja anayejiita BOB OS ni shoga.
Sio lazima mwenye hilo jina awe shoga.
'' BOB OS'' ni shoga, unabisha au unakubali sasa baada ya muongozo?
Sevila alipindua matokeo ya SimbaGari, meza, treni ndio huwa zinapinduka.
Mtu hawezi kupinduka wala kupinduliwa.
mkuu unanipa kazi kubwa kukusaidia wakati mimi nataka kukubishia.
Mkuu inaonekana umebobea kwenye mambo ya kuolewa.Matunduizi ameolewa na jamaa flan
Karibu, andika kitu chochote ili tupingane
Prof Matunduizi
matinduizi hajaandika chochote hadi sasa.wewe unayejiita matinduizi ni mwanaume
nabisha.Nakugongea mkeo
Wewe mwenye id ya matunduizi umejuaje kama matinduizi hajaandika chochote?matinduizi hajaandika chochote hadi sasa.
nakubishia
Mimi similiki ID yoyote mkuu.Wewe mwenye id ya matunduizi umejuaje kama matinduizi hajaandika chochote?
😎 umewahi kuiona dunia duara au story za NASA.Dunia ni duara
Kwikwikwiii,akibisha niite tumsute.Nasubiria ubishe hapa
Sijiiti.wewe unayejiita matinduizi ni mwanaume
Uongo, napinga.Kwenda popeni ni ngumu kama kuitoa ccm madarakani. Anayebisha na abishe....
Jf maana yake ni ...Jambo Fulani... Sasa utasema vipi kuwa jf inamiliki ID yakoMimi similiki ID yoyote mkuu.
ID zote na maandiko yote tunayoandika humu ni Mali ya JF, ndio wanayamiliki kisheria na wanawajibika pia kwayo.
Hapna, , jamaa ni shoga tena shoga la sinza pale[emoji23][emoji23]matunduizi sio shoga....................
Sijiiti.
Neno kujiita linauhusiano na sauti sio maandishi.
Kwa sababu hii sio audio chat, hivyo umeandika uongo kuwa mimi najiita wakati hujanisikia sauti yangu
Sijiiti.
Neno kujiita linauhusiano na sauti sio maandishi.
Kwa sababu hii sio audio chat, hivyo umeandika uongo kuwa mimi najiita wakati hujanisikia sauti yangu
Nabisha. Sevila na simba ilikuwa mechi moja.Sevila alipindua matokeo ya Simba
HahahahahaJf maana yake ni ...Jambo Fulani... Sasa utasema vipi kuwa jf inamiliki ID yako