Sura Halisi
Member
- May 16, 2019
- 35
- 54
Kinyume cha NDIO ni HAPANAKaribu, andika kitu chochote ili tupingane
Prof Matunduizi
popoma ni nini mkuuWewe sio popoma.
sio kweli.Simba wamepewa bodaboda
Na mie ndio lengo ubishe hivyo hivyo..nabisha.
chai gai unazungumzia.
mmea wa chai.
majani yake.
mchanganyiko wa maji na majani yake bila sukari au maziwa.
hahahaha
chai ni neno pana mkuu. Hata mtu kuongea uongo inatwa chaiNa mie ndio lengo ubishe hivyo hivyo..
Chai kama chai, kwani we huijui chai?
nani chizi mkuu.Nilijua Mimi ni chizi peke yangu kumbe tupo wengi..!!
Ndio naaamka Mkuu sijui chochotenani chizi mkuu.
hahahaNdio naaamka Mkuu sijui chochote
Kwamba uongo ni chai ni kiswahili sanifu ama..chai ni neno pana mkuu. Hata mtu kuongea uongo inatwa chai
Sio "neno wewe" ila ni neno "wewe"nakubishia,
''neno wewe'' maana yake You. Yaani BOB OS.
hivyo BOB OS ni shoga.
hapo huitaji magazijuto kubishana.
Pombe sio dhambi....nabisha pombe ni KvantPombe ni dhambi acheni kunywa pombe
Sio Mzee huyo nabishasio Kweli.
hata vidonge vina kapombe kidogo ukisema hivyo unatangaza vifo vya wagonjwa wote mahospitalini.
na unahatarisha usalama wa kazi za madaktari.
acha hizo mzee.