Andika chochote ukianza na neno Wajumbe. Wa mwisho atakua mshindi, zingatia kutoandika matusi

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wakuu,

Hapa unatakiwa uandike sentensi yoyote ukianza na neno “Wajumbe”. Mfano: Wajumbe hawakumwelewa Mwijaku au Wajumbe wamempotezea Masterjay Rasta zake na wa mwisho ndio mshindi.

Tusiandike lugha za matusi.
 
Wajumbe wamenisaidia kunikatia 97% ya WASALITI na watu wa hovyo km makonda na gwajima
 
"Wajumbe walitoa maoni kwenye kura za uchaguzi ,Shekhe sharifu majini pamoja na majini yake walishindwa Kama mdondoko wa hirizi kwenye jumba la ibada
Mbaka Sasa aliyepitishwa Hana uhakika kuwa mwisho atakuwa mshindi."

Sijui Ni sentence 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…