Andika group lako la damu uone linamatch na group la Member gani?

Ebu tuache utani zero unajua sijui kweli group langu alafu nipo nipo tu hapahapa.nitaenda kucheck nitaleta majibu
Serious wengi hawajui.
Binafsi nililijua kwa bahat mbaya tu siku nimeitwa kutoa damu kuchangia mgonjwa.kitu cha kwanza kupima kabla ya magonja huwa wanachek kama group ya dam inaendana na mgonjwa .Ndipo nilifahama mm ni A+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…