Upo sawa na Zero IQ
Huoni tabu???😀😀😀😀😀Hahahahaaa
Hivi ni group lipi ni more Sensitive towards HIV?
Yan wanaoitwa Keria wanakuwa na sifa zipi
B+ nitakutafuta ninafurahi nimewahi kuokoa maisha ya mtu walihitaji kisusio fresh ......
pamoja B+
Hatuko wengi sana duniani sijui kama tunafika 15% najua AB wako only4 %pamoja B+