Kama mtu anaishi kama malaika kwa juhudi zake kuna ubaya gani?Hii ni kwa wale waliokuwa wanaishi kama malaika
Nakupenda satuuuuuuWakuu habari zenu,
Hii ni thread huru kwa yeyote kuandika maneno ya pumba aliyowahi kukutana nayo lakini ukiyatafakari unaona yanaleta maana fulani katika jamii ya leo.
Mimi naanza na niliskia Leo kutoka kwa msaidizi we kazi hapa home ambayo ni 'yeye katika mwezi ni lazima ampige au kumgombeza mke wake hata kama hakuna kosa ili kuleta heshima na nidhamu katika ndoa yake'.
Mkuu basi tunakushukuru kwa kuchangia pumba
- Huu uzi nao pumba tu.
- Na naona wazee wa pumba wanatiririka pumba zao
Wakuu habari zenu,
Hii ni thread huru kwa yeyote kuandika maneno ya pumba aliyowahi kukutana nayo lakini ukiyatafakari unaona yanaleta maana fulani katika jamii ya leo.
Mimi naanza na niliskia Leo kutoka kwa msaidizi we kazi hapa home ambayo ni 'yeye katika mwezi ni lazima ampige au kumgombeza mke wake hata kama hakuna kosa ili kuleta heshima na nidhamu katika ndoa yake'.
Ha ha ha haaaBaba yangu mmoja aliwahi kumwambia mjomba wangu kuwa.. Usiendekeze tumbo, sababu tumbo liliponza mat*ko yakatobolewa...
Mkuu basi tunakushukuru kwa kuchangia pumba
Ha ha apa umemuweza