Andika ID yako kwa tamaduni ya croatia

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Wacroatia πŸ‡­πŸ‡· wanatamaduni ya kumalizia majina yao na "ic" mfano
Modric
Mandzukic
Olic

Je, wewe mwana JF ungezaliwa croatia ID yako ingeandikwaje?
Mimi naanza "worldbossic"
 
Wacroatia πŸ‡­πŸ‡· wanatamaduni ya kumalizia majina yao na "ic" mfano
Modric
Mandzukic
Olic

Je, wewe mwana JF ungezaliwa croatia ID yako ingeandikwaje?
Mimi naanza "worldbossic"


Wewe kwanini uende kote huko kufuata tamaduni za wageni??, kwanini ushichukue tamaduni za hapa hapa Bongo??, angalia Wanyakyusa, Mwa katobe, Mwa kalibule, "Mwa" imetawala, pia watu wa Tanga kuna She msanga, She mahonge, She kilango, she tani, she meji nk, "She" zimetawala.

Sasa jina lako lingekuwa Mwaworldboss au Sheworldboss.🀣

Penda chako, chako ni chako japo kibaya, kimfaacho mtu chake. Chamtu mavi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…