Andika jina lako kwa kijapani

lingindingi

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
218
Reaction score
123
Tujaribu kuandika kwa kila japani majina ya ubatizo na sehemu ulipo
 

Attachments

  • 1480191446560.jpg
    44.2 KB · Views: 69
Kibishi = MEKIZUKIARIRIKI.
Mh!, matamshi mengine unaweza kuachia tusi zito hivihivi.
 
Sasa tutajua majina ya kamili ya hizi id hapa jf...
 
Naona lingindingi anatuchanganyia madawa, tangu lini alphabet ya B ikawa ndiyo alphabet J?, ukiangalia kwenye jedwali, utaona B=ZU na J=ZU, umeona mambo hayo?
 
Kataki zukamekashiki (alibakari) tekashikuariarikatakakarin (daressalaam)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…