Wewe sasa ndio unalipatia.
Umeadimika mkuu nadhani upo Malta saizihahaha... niaje?
Kutambo...dumelaa ra!
wow nimekupenda ghafla[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Umechelewa wewe [emoji23]First to comment [emoji4]
Hahaaa. Nipo ndugu yangu mie mzima wa afya tele.Hata na wewe umeadimika.
Nilianza kujiuliza kabla ya kufanya maamuzi
Mie niko poa Alhamdulillah. Nimefurahi kukuona mwaya.Miss u too..
Majukumu dada yangu ila nipo
Ninaimani uko poa eeh
Hahaaa. Hata na wewe Kaka Masai 🙈🙈umemmiss mdogo wako tu?
Ewaaaaa.ngoja nikamtoe huko aliko
i do every second hunI love u
ashakuja na kuondoka..tuna kampuni inatusumbua sana si unajua mwanzo mgumu bby shemstanta....mfichue basi inatosha.
niko nimejaa full kabisadaah linanishinda hilo.
nimekuhamu pia...za kunipotea?
Shikilia hapohapo hadi kielewekeashakuja na kuondoka..tuna kampuni inatusumbua sana si unajua mwanzo mgumu bby shem
Nafurahi kusikia hivyo.Hahaaa. Nipo ndugu yangu mie mzima wa afya tele.
Kuna mambo tu yaliniweka busy kidogo ila kwa sasa nipo.
Mzima lakini?
mkuu umetisha, sijui kama nitachomoka hapa maana sio kwa mahaba hayaShikilia hapohapo hadi kieleweke
Mimi pia dada,Mie niko poa Alhamdulillah. Nimefurahi kukuona mwaya.
Poa kaka daby mambo yanaendaje??Mkuu rijali jandoni vipi?