Atakua amelambishwa mtaro manzi sio watu wazuritena anaburuza miguu kwa shiida[emoji23]
Na Mimi unaitamkaje ID yangu mkuu?siwezi kuitamka....najua kabisa... ni sawa na kwa mshana siwezi sema junior ni jei ara.
Hahahaaaa braza huishiwi vituko wee kila kitu kuunga mkono hojaNaunga mkono hoja....[emoji64] [emoji64] [emoji86] [emoji86]
Cutie, am sorry ,[emoji22]ππππ
Comrade, ujue mimi nilisoma Shule ya Msingi na sio Primary School....[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Luka MabutuπCutie, am sorry ,[emoji22]
Ndio maana naunga mkono hoja....tehteehhHahahaaaa braza huishiwi vituko wee kila kitu kuunga mkono hoja
ndege JOHN naona unanitania maana najua nikosea heshima.Pale darasa la Saba wanapomaliza mitihani ya taifa