Andika kwa swahili: 12000 na 10002

12,000 - maelfe kumi na mawili

10002 - maelfu kumi na mamoja mbili
 
12000 Kumi na mbili elfu
10002 Kumi elfu na mbili
Rahisi sana na hii inafundishwa darasa la nne kwenye hesabu za maelfu (tuliosoma msingi miaka ya 80) bado nakumbuka picha ya mwalimu wangu wa hesabu wakati huo akisisitiza makumi,mamia na maelfu (hongera kwa mwalimu wangu Popitolo)
 
12000= kumi na mbili elfu

10002= elfu kumi na mbili😛eace::humble:
 
12000 kumi na mbili elfu
10002 elfu kumi na mbili
 
12,000 = Elfu kumi na mbili.
10,002 = Elfu kumi, na mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…