Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo kaliMwalim anawaita wanafunzi waandike magonjwa wanayoyafaham ubaoni
wakwanza kaandika: HIV
Wapili akaandika : TB
Watatu akandika : Polio
Wanne akaandika: /
Mwalimu kaamuuliza ndo ugonjwa gani huo, akajibu STROKE!!!
hiyo kali
atakua Joseph Msukuma (Geita - CCM)Mwalim anawaita wanafunzi waandike magonjwa wanayoyafaham ubaoni
wakwanza kaandika: HIV
Wapili akaandika : TB
Watatu akandika : Polio
Wanne akaandika: /
Mwalimu kaamuuliza ndo ugonjwa gani huo, akajibu STROKE!!!
Naona unacheka kimakondeHahahahaha! Hihihihi!