Andika mistari yako binafsi ya muziki tuone mkali nani

Andika mistari yako binafsi ya muziki tuone mkali nani

Baba ilumba

Member
Joined
Apr 18, 2020
Posts
37
Reaction score
49
Naaanza Mimi

Ni asubuhi nimeaamka Mara pa
Naona ka sijielewi duuh
Kumbe ni J3 mitungi ya Jana
Imenichanganya ndo mana hata sielewi
Ni noma kwenda mbele siunajua tena wasela ndo ivo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Tupieni na yenu wakuu tuchekane humu najua wengine sio watunzi wazuri kama nilivyo mm tu ila shuka tu
 
Baby kuna mvua jua halionekani, ila bado lipoo
Japo tupo mbali wala hatuonani, mapenzi bado yapoo
Naweza sahau jina langu, ila sikusahau wewe
Wa kwanza ni mama yangu, ila wa pili ni wewe
Ruksa kamba nifungee, nisitembeee
Ninachotaka ujichunge, wasiniibiee
 
Naona mnaweka mkazooo
Ngoja tuje tuweke studio
ntakaa ndani ya studioo
Nikiwa napiga shoooo
 
Naaanza Mimi

Ni asubuhi nimeaamka Mara pa
Naona ka sijielewi duuh
Kumbe ni J3 mitungi ya Jana
Imenichanganya ndo mana hata sielewi
Ni noma kwenda mbele siunajua tena wasela ndo ivo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Tupieni na yenu wakuu tuchekane humu najua wengine sio watunzi wazuri kama nilivyo mm tu ila shuka tu
Nikichukua hii yako nikachanganya na mistari yangu nikabeba tena ya wadau wengine naingia studio kutoa ngoma, sasa nyie endeleeni tu me nawachora tu.
 
Unataka mistari ile udese,nakupa za uso ili usepe,haahahaa natania,kufanya hv ni kawaida yangu na wala sijapania,skia,ni misos,pamba,na Bia, wanaongelea covid si tuendelea kujifukizia
 
Kuomba msaada siyo ujinga,hongera mkuu,inawezekana unakipaji ila huwezi kutunga
 
Back
Top Bottom