Siku nyingine usije kihivyo maana tupo mtaa wa Tanzania, eneo la Africa mashariki, mkoa wa afrika -dunianiMkuu sijàtumwà
Naitwa popoma natokea Dar hapa magogoni white houseMimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Nipo nyuma yako hapa kwa TembaMimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
ulipo weweMkoa gani
nipo mbinguni mtaa wa nyota ya mwisho karibu na sayari jupitaMimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba
=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Ahaàaaa haaaaaSi uende PM. Hahahaaaa.