Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo

Naishi pembeni kwa Ikulu upande wa Mshariki.... karibu
 
Saivi nimesogea nipo Pugu Kona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…