Andika sentensi ifuatayo katika wingi

Jabulani
Nikiwa Kama msahihishaji mkuu mitihani ya NECTA .. Huyu kapata.. Tuendeleeni Swali jingine..!
 
Last edited by a moderator:
mashabik wa tim ya simba wana wake. Tamka neno moja moja.
 
Ahaaaaa..... nimeipenda hii. Wingi unabadiri maana kabisaaa....
 

umetsha lazma upate A ya kswahli chezea wewe...
 
Kwanini iwe timu "ya" simba na si timu "za" simba?
 
Reactions: y-n
mashabiki wa matimu ya masimba wana mawake!!!
 
Reactions: y-n
Mashabiki wa timu ya simba wana wake.....aaaaaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…