Nimekuja mbio sijakuona. Halafu jirani umeona utudanganye sio?Njooni pm
tufanye kikao cha dharura jirani
Wewe utakuwa na matatizo.mi Nina 21 siwezi kutoka kimapenzi na mwanachuo mwenzangu au mwanachuo yyt
Sent using Jamii Forums mobile app
27....siwezi acha angalia avatar yako26-siwezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ex wangu,.
Kuzibuliwa mtaro?28 kuduu bila kuzibuliwa
Hahaha hapana huwa sifundishi matusi, na sijawahi kuwa mwalimu wa hiyo taaluma nduguUnanifundisha tabia mbaya (matusi) wewe[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu Kuwa na heshima kijana used woman ndo nini... Kwa hiyo na mama yako utamweka kundi gani
Una nini lakini thanos😩😩