Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

19 , siwez acha kumcha Mungu sio kumcha mchungaji ...

Pia siwez kata tamaa kuhus ndoto zangu nazozipigania za kuwa neural specialist

Asanten , nauza bagia na mwenye chaji ya pini kubwa aniazime nataka nitolee nyama kwenye jino [emoji18]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim sina miaka ila siwezi kuhonga nyumba labda range Gari alafu na mtoto awe kweli mtu akiona hawezi kunilaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…