Irrelevant25 kamili kwenye account yang barclays inasoma $17000 dah noma sana!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lake lipo kwenye umri.Unaweza ukatembea nae bila kujua ni mume wa mtu, kuwa makini
Sawa nitakuwa makini ndugu.Unaweza ukatembea nae bila kujua ni mume wa mtu, kuwa makini
AiseeeNikabidhi mimi uoga wako wotee. Ukifika kwangu utakuwa kwenye mikono salama.
Basi subiria mvua inyeshe mkuuNdio mkuu
Hautajuta kamwe
Mkuu mbona Kama umegeuza swali??
Amesema usiloweza kufanya
Weee 34 kula wali kwa mikono na baba mkwe natest mitamboAmesema usiloweza kufanya
Na test mitambo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwan baba mkwe anaua
Atakununulia ndege [emoji1739] ukijamba
[emoji23]Atakununulia ndege [emoji1739] ukijamba
Na test mitambo
Saiz Ana hela za kununulia ndege...jiwe ni shdaah