Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
- Thread starter
-
- #341
Niamini mimi tu.Miaka yangu nimesahau ila siwezi kumuamini mwanaume hata kama baba yangu mzazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mbibiUzi wa kujuana umri huuu..ngoja nipite kimya kimya
[emoji2935][emoji2935]27
siwezi kunyonya kikojoleo cha mtu.
Yaani hata baba yangu simuamini ndio nikuamini wewe jiraniNiamini mimi tu.
Mimi ni mmoja kati ya watu wachache waaminifu kuwahi kutokea duniani
Aisee maskini pole sana,yaani inaumiza sana unavokuwa umeshikiria picha ya marehemu mkeo halafu unaipiga mgalulaaa,aisee
Mimi ni mmoja kati ya watu wachache waaminifu kuwahi kutokea duniani
Haya mbabuSawa mbibi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haya mbabu
Nipigie jamii foram call nmekumiss ujue[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
The call not connected.Nipigie jamii foram call nmekumiss ujue
Connect basi we si modThe call not connected.
Nishatumbuliwa banaConnect basi we si mod
Hivyo vitu visikutoe kwenye mstari jirani. Amini kwamba anaye type hapa ni kiumbe mwaminifu sana chini ya jua.Hapana jirani avatar yako, mwandiko wako vyote vinaonyesha nacho yako yapo juu juu muda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila alishakutom...26-siwezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ex wangu,.