Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

Jehova! jehova! sasa utawezaje kumlea mwanao ambaye hutamuamini WHYYYYYY
Mwanang nitamlea akiwa mtoto si mwanaume , akishafikia level ya kuitwa mwanaume nitakuwa namlea tena?
 
In my thirties and I can't take BS.
 
19 siwezi kutamani mke wa mtu unless ajilengeshe

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
31 siwezi kujipendekeza kwa mkuu wangu wa kazi, nimejaribu nimeshindwa, nimeamua niwe hivyo nilivyo.
 
Miaka 54, siwezi kuongopa!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…