Duh basi sawa mkuu ngoja tusubir usogee kwanza natumai na sie wengine tutakua mbali zaid ili ubenten niwe nao mbaliiiiii,,,bado miezi tu mbn utakomaKuanzia 17 -26 naona vibenteni
HammazWhen the pimp's in the crib ma
Drop it like it's hot Drop it like it's hot Drop it like it's hot
I'm 26
Sija du mpaka nitakapo oa.
Here i am.. I'm listening..
Heshima yako mama. Ubarikiwe zaidi.Miaka 68
Siwez na sijawahi kuwachapa wajukuu zangu.π
Ahsante mwanangu baraka zitawale kwako pia.Heshima yako mama. Ubarikiwe zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka 68
Siwez na sijawahi kuwachapa wajukuu zangu.π
Kwahiyo unajiona mkubwaaaaa teh tehDuh apa wengi watakuwa na 20, 21, mpka 23, 24...
Although nina 25 ..
Sipendi kitonga.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Warangi wanajitongozesha au?Hahaha inategemea yukoje, ukipata mrangi utajaribu tu. Na ukizoea basi utakuwa hukauki nyumbani utakuwa baba mwema hutoki toki hovyo.