Ekyoma kanishinda kwahiyo ulimjibu vipi kuhusu churaHahaha
Ngoja nitulie nkutumie
Cheo Gani Mkuu.?Wivu tu unaokusumbua kwani usipowapenda wewe unahisi umepunguza nini kwao.
Humpendi Vladimirovich Putin na sidhani kama hata yeye anahitaji kupendwa na wewe acha kujivika vyeoo....
Ahahah kaka acha tuMh! Nyie watu mna hatari sana. Mnachukua na ushahidi kabisaaaa. Nyie si wa mchezo mchezo LOL! Eti njemba inaitwa chura hahahahahahaha Mungu anawaona nyie shauri yenu ila Shunie umenichekesha sana LOL!
Aahhh watu , walotumika wakaachwa wakatumikaaaaaaa wakaachwaaaaa wakatumikaaaaa tenaa wakaachwaaa.Watu walivyo na wivu sasa watasema nyie ni id moja,,humu tuna wivu sana
Eehhh Weee wadharau tuu ...as long as sio kitu hawakuongezei hawakupunguzii kitu dharau tuuuu !!.Mim ndio maana siku hizi nawadharau tu yaan umenifundisha kitu
Shida moja nilonayo ni Huruma ? .. Humu najua kuna watu wanayao ,sasa kila nikitakaga kuziweka roho inaniuma .Safi Vipi Umewasamehe Tiali Au Utaweka Screen Shot Hapa
Nasikia huko zitakuwa zinakuja Ethiopian AirlineFastjet ni bas gan mkuu, huku chato halipo.
Mkuu... Embu Muache huyo Mwanamke .....Cheo Gani Mkuu.?
Kuna mwingine mbuzi sio chura tuMh! Nyie watu mna hatari sana. Mnachukua na ushahidi kabisaaaa. Nyie si wa mchezo mchezo LOL! Eti njemba inaitwa chura hahahahahahaha Mungu anawaona nyie shauri yenu ila Shunie umenichekesha sana LOL!
Tena aweke zakoSafi Vipi Umewasamehe Tiali Au Utaweka Screen Shot Hapa
Eti wanasema kuna muda unafika mnabadilishana akaunti ,mi siamini ujue nikawaambia ni wivu tu huo kwa vile yao yamebuma wanataka na mima yabume,,wanawake wa jf wama wivu leo nimegundua hili,,putin wa urusi wanakuonea wivu hawa watu walioshindwaa kaa nao kwa makini mkuuAahhh watu , walotumika wakaachwa wakatumikaaaaaaa wakaachwaaaaa wakatumikaaaaa tenaa wakaachwaaa.
Huwa wanakua namatatizo ya kisaikolojia ,,hawaaminigi tena kama kuna mapenzi ya dhati !! Kwao kilichobaki ni kuishi kwa "Bahati".
Sasa iwe ID za mtu mmoja nifaidike nann?? Na kwann nistulie nikapata mwanamke??.
Ona kwaufupi niivi ,, Mima namkubali sana ,, nakwasabab napenda kua Open kimahusiano ndo maana unaona tuko km kumbikumbi !!. Nahiii naifanya sababu ,Sihitaji kua kimahusiano na mwanamke mwingine nje yake yeye !!.
Hawanisumbui hao ,, sisumbuliwi nawat waloshindwa!!.
Putin una huruma kweli ila siku moja tuanike tu tushike adabu,,au tutumie pm tuone haya mauchafu,,wivu mbaya sana yaan wewe kuwa na mima ndio matatizo yote haya mpaka Trump anakuchukia khaaaShida moja nilonayo ni Huruma ? .. Humu najua kuna watu wanayao ,sasa kila nikitakaga kuziweka roho inaniuma .
Kamtafute ,Mshipa ,,uyu mkuu kidogo anaweza kukuambia !!..
Tatizo nawaonea huruma tuuu , alafu nikikaa kimya wananiona Boya sanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu na viatu aiseee !!
Ila usinichukie maana sichukiwagi ,ukinichukia unajipa bonge lakazi mnoooo maana mtu unayemchukia kajaa dharau !!.
Kuna wawili , niliwatumia PM... Mpaka Leo niwaoga sana ,, wakinisema wanaogopaga hata kunitaja jina.l[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana nimewambia tatizo niwaoga !!.Putin una huruma kweli ila siku moja tuanike tu tushike adabu,,au tutumie pm tuone haya mauchafu,,wivu mbaya sana yaan wewe kuwa na mima ndio matatizo yote haya mpaka Trump anakuchukia khaaa
Naamin watashindwaa ,simama kidete we mwanaumee
Hakika ,ila kwa Mima nilikata kasi kabisa ,kumbe wengine wapo wanakuja mguu mmoja ndani mwingine nje !!.Halaf putin hata likes hawakupi hivi kweli mbona mpo hivyo wana jf ,,si na nyir muwe mna kapo zenu na badoo mtaumia sanaaa putin keshafika kwa mima katua mzimaa mzimaaa na mnaotuma pm kwa mima mtaanikwaa
Sema we ndo hujui babuukikosea kuandika comment huwezi ku edit
Khaaaaaa unawaonea wivuu1. Sipendi wakaka wanaoringa ukiwaibukia pm kuwaimbisha
2.Sipendi wadada wachoyo wasiotaka tushee wapenzi wao