Kweli kabisa hatuna budi kumshukuru kwa kutupa uzima na afya tele.Leo nimekubamba unafuraha kweli kweli aunt? ashukuriwe Molla
kwanini MKUU?
Bahati nzuri sana sinaga mazoea na wanaJF nje ya majukwaa kama haya, hivyo mimi si mhanga ila huwa sipendi kuona uzi wa kusemaTrump tower yuko hivi na vile. Huo ni umbea na mimi sipendi umbeaHahaaaa . mkuu ww ni muhanga Wa hyo kitu?
Nyuzi izi ni Afya mkuuuYaani nyuzi zenye shari ndo nazipendaga sijui kwa nini. Ingekuwa huku jf kila siku ni hivi basi ningenenepa zaidi
Kweli kabisa hatuna budi kumshukuru kwa kutupa uzima na afya tele.
Niambie za kujichimbia, sababu kitambo sana ujue, Mzima?
Shem weeeSipendi tabia ya watu kuonana live kisha kuja humu kuanzisha thread za kuanikana!
(Ya mtaani yabaki mtaani, ya PM yabaki PM)
Hiyo iko poa sana uncle , ikiwa mwaka huu umeamua kuja kivingine.Nzuri tu maana huu mwaka sitaki shari na ban za mara kwa mara
mi mzima aunt. Ngoja nikajenge taifa ciao
Alafu we mshikaji [emoji23] [emoji23] ngoja nikuache[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unatumia Nguvu nyingi sana kuaminika .
Fanya ivi ,, acha kua na maisha ya woga , wee nimwoga nasio kitu ... Alafu nikuache tuu ,ila jaribu kuangalia mdomo wako ..bahati Nzuri unajua mtu unayemzungumza niwaaina gani !!!. So take care .
Take care ,nakuambia take care ,narudia take care ..embu Fanya kunitoa ktk kinywa chako uishi kwa furaha !!.
Bora hata umetumiwa, mi kuna jitu humu linasingizia eti limenitumia mzigo from abroad ukapitia kwa mdada flani huyo mdada akaufungua Kwahiyo nimekasirika tena linasimulia kwa uchungu, yani jf kuna mianaume miongo jamani!!!!!!!
Yani hili jitu adhabu yake ningekua me ningelipaka mafuta maneeenah
Bado nakukumbusha ,Kua Muungwana !!.. Napokaa kimyaa haimanishi siwezi kukujibu au siwezi kukuponda pale patakapokuumiza !!.hahha hebu nitue bas mshikaj !yaan nisicheke niicomment kisa wewe !hahaha never !niache tu aisee
HahahahahahNaskiaga wewe ni head prefect wa jf
Popote ulipo agiza chai ya rangi nakuja kulipaKinachoniudhi humu ni kupenda kufatiliana Fulani yukoje na anaishije??
Pm kutumika km majungu na vijiwe vya kusengenyana mpaka jukwaani great thinker km tuitwavyo huko nje unakuta masengenyo tuu, what a rubbish
Yaan tutaanikwaa na mitongozo yetu,,nasubiriaaa mieHahahah wewe acha uchokozi bana dina. HP wenu amesema akiamka atawachimbisha visiki vya kahawa na mkatoe mbolea kwenye banda la ng'ombe
Bado nakukumbusha ,Kua Muungwana !!.. Napokaa kimyaa haimanishi siwezi kukujibu au siwezi kukuponda pale patakapokuumiza !!.
Narudia ,embu Fanya kunitoa ktk mdomo naakilinyako ,,ufanye mambo yako ,,bilashaka unamengi yakufanya humu JF .... Sasa km unamtafuta kuonekana naww ni msela ,gangstar baby ,,..endelea ,,Bahati nzur unajua Mimi ni mtoto na akili za watoto tunazijuaga wenyewe !!!.
Nakuitaji ,usizungumze lolote kumuhusu Mima nalolote Kunihusu Mimi.....tena bora ukoseee unizungumze Mimi ,,lkn SIO KUMZUNGUMZA MIMA ....I will take the bull by its horns .
Ila putin una mkwaraa ,,Mbitiyaza muke ya beira kakufanyajeeBado nakukumbusha ,Kua Muungwana !!.. Napokaa kimyaa haimanishi siwezi kukujibu au siwezi kukuponda pale patakapokuumiza !!.
Narudia ,embu Fanya kunitoa ktk mdomo naakilinyako ,,ufanye mambo yako ,,bilashaka unamengi yakufanya humu JF .... Sasa km unamtafuta kuonekana naww ni msela ,gangstar baby ,,..endelea ,,Bahati nzur unajua Mimi ni mtoto na akili za watoto tunazijuaga wenyewe !!!.
Nakuitaji ,usizungumze lolote kumuhusu Mima nalolote Kunihusu Mimi.....tena bora ukoseee unizungumze Mimi ,,lkn SIO KUMZUNGUMZA MIMA ....I will take the bull by its horns .
Ila putin una mkwaraa ,,Mbitiyaza muke ya beira kakufanyajee
Mimi sio mnafiki ,, nasiupendi unafiki.hahaha hebu nioneshe ni wpi nimemzungumzia kapeace mie !khaaa !yaan wewe unataka kuaminisha watu kuwa tunakuonea wivu!
hahahah mie nakudharau tu !