Andika usichokipenda humu JamiiForums

Hivi kwanini hutaki kukubali ni watu tofauti,,ndio maana unazidi kumuudhi putin,,siku ukianikwa shauri lako,,afanye nini uamini ni watu tofauti,,,Mbitiyaza sasa una wivu nimeamini kabisa una wivu mkubwaaa na kuanzia leo
tena ngoja na espy aje ni hiviii
NIMEKUDHARAUUUUUUUUUUUUUUU
 


hahahah shogale ni vile nina 'kiraka' che neno 'mke wa mtu' ! nakaa kimyaa miee ngoja niendelee kujichekea tu hapa mie !
 
Hahahaaa unajua Kapeace nn ??... Kuna watu hutumia njia ya uongo ili kujua ukweli.

Waache waendeleee kuamini wanavyoamin.
 


hivi kwan kuongelea elimu yako ni dhambi gan !nakushangaaga ujue !alfu masuala ya kuntisha na namba unajua unanichekesha sn mie ! ohh kuna fala mmoja alikuja pm ohh mbiti inasemekana wewe jf kuna watu wana namba yako nusu nzima !hahaha huu ujinga !hebu pekenyua nyuzi zangu bas ndo uje uropokwe hapa !mxiew

my first thread niliweka namba zangu kwa biashara ya matunda ya strawberry hapa ! huenda ulikua bado sekondari lol !kila siku kunitisha na hyo namba !hv wew mzima kweli?? karibu kila siku napigiwa simu na watu wa jf wanahitaj strawberry sijawah wauliza umepata wapi namba coz nilizitoa mwenyewe hahaha nataman nikutukane kama mange !ila nakuacha !hahahahahaha
sitakujibu tena !
 
wewe ndo unajivika' ukuu'tena ukuu wa familia yako ! mie siwez ringia mali za wazaz wangu hata siku 1 kwanza nitakuwa limbukeni ! hahaha ngoja nsiihie hapa !nisijeonekana nakutaka au nakutongoza bure!@vladimirovich putin
Acha kuruka rukaaaa... Umesema hapo ulipo sikupati kwa chochote ....nam nmekujibu ,we maisha siumeyakuta ukubwan ?????. Sasa Mimi sijayakuta ukubwan ,maisha nmeyakuta na nitayaacha ,,Mimi naww tukaee mwaka mzima bila kufanya kazi ,, Weee hutoimili , wiki mbili tu unadaiwa vitu vinapigwa mnada na kampuni ya Yono!!!.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

At my Age, nilivyo vinanitosheleza kabisaa pasipo kuhitaji Msaada mwingine !!!... Achana nahiki kichwa wewe !!.
 
wewe ndo unajivika' ukuu'tena ukuu wa familia yako ! mie siwez ringia mali za wazaz wangu hata siku 1 kwanza nitakuwa limbukeni ! hahaha ngoja nsiihie hapa !nisijeonekana nakutaka au nakutongoza bure!@vladimirovich putin
Unamtakaa eee kwani uongooo
 
Mbona hiyo namba kama yangu putin
 
Hhhhaaa unataka kumsema nanii
Halaf nimegundua we bonge la mchokozii
Yani we Acha hapa Nipo Kazini nachat kwa Uchokozi ngoja Ifike Muda ya Kumi Nitaanza Kuwadharau Wote Humu Ndani. naanza Na wewe[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 


ahhhaa haya boss umeshinda !ni kweli nilipoolewa masiha yakawa mteremko kiaa !maana had leo wazaz ni mm kuwababe la sivyo wafwaaa na njaa ! HONGERA
 
Nakojooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kojooooooooo refuuuuuuuu hhhhaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…