ci ! ci !hahaha wengine humu tuliingia kutangaza biashara !sijui wengine na bado namba zipo zinaexist
Siku nyingine jaribu kuunganisha Ulimi na Ubongo ndo Uongee !!.Ungekua haupendi ungeacha.
Kumbe kisukumaaaa hahahafisi mwekunduu !wozaaaa
Hivi ukiamua tu ukakaa kimya kuna shida gani mkuuSure namm hii kitu from the bottom of my heart siipendi,, anajua huyo day moja ,nimewafata PM nmewambia jamaa kila mtu afanye yake ,msinizungumzie Mimi wala Mima ,wala chochote kilichopo kati yetu..kila mtu ashike zake .
Lkn do you see ???. Watu waaina hiyo nikuwafanyaje ??.
Mie sipendi kubishana na watu ila ungekaa kimya tuSiku nyingine jaribu kuunganisha Ulimi na Ubongo ndo Uongee !!.
Wewe unahisi ,Mimi ni mtu nayeweza kusimama pemben ,nakuwatizama watu wakijaribu kugusa masilahi yangu ????.
Endelea kua Horny.
Hhhaaa ndio ka mimi hakooUmenikumbusha mbali sana miaka hiyoooo nipo shule niko mpoleeee, bas kulikuwa na bidada mmoja mzuuuriiiii ila sasa anapenda kutia mafuta watu wakigombana yaani atachochea mafuta hadi wapigane bas yy burudani hahhaaaa
[emoji23] [emoji23] mshikaji wewe bana ngoja nikuache tuuu maana doooohh unatumia Nguvu nyingi sana kufanya uonekane safiiiiii[emoji23] [emoji23] ..dina ninapigiwa simu na watu kila mtu ananiambia we ni mbiti?? aksiema hvyo najua ni jf iweje huyu aanze kujitia maneno kuhus namba yangu !hahahah jaman mie sijui unitishie kitu gan ndo niogope !mume wangu ananjiuaga vzr aisee
Basi bwana tushajua mnafahamiana inatosha mambo ya kurushiana maneno humu sio poa, hamuoni mnajichoresha tu
HahahahahahahahhahaHivi ukiamua tu ukakaa kimya kuna shida gani mkuu
Acha uongo wewe....PM yako umeifunga, mwaka jana wote nakubembeleza nikuhonge unaogopa. Weekend nimekupa offer nipe namba nikujazie salio umeogopa!Hao marafiki wapenzi wasalimie sana jaman huku pm kwangu ni salaam tu zimejaa
Sawa nmekuelewa ...let me stay quite !!.Mie sipendi kubishana na watu ila ungekaa kimya tu
Kama kitu haukipendi.
Unafikiri ni kila mtu atakuplease humu jf kwenye jamii iliyojaa watu wa kila namna ?
Mnajuana hamjuani hayo yenu binafsi.
Kwa nini unashindwa kupishana nao ukaendelea na mambo yako binafsi au ndiyo jambo la msingi kushushuana na watu humu ndani ?
Manake kila mtu ana lengo lake la kujiunga jf.
Ok poa poa mkuu nakaa kimya ili isiwe shida au sio !!!..Hivi ukiamua tu ukakaa kimya kuna shida gani mkuu
[emoji23] [emoji23] mshikaji wewe bana ngoja nikuache tuuu maana doooohh unatumia Nguvu nyingi sana kufanya uonekane safiiiiii[emoji23] [emoji23] ..
Sawa mkuuuuu nilichukua ktk uzi sawa eeeehhhh[emoji23] [emoji120]
Kwani MBITIYAZA mchafu mno humu ee[emoji23] [emoji23] mshikaji wewe bana ngoja nikuache tuuu maana doooohh unatumia Nguvu nyingi sana kufanya uonekane safiiiiii[emoji23] [emoji23] ..
Sawa mkuuuuu nilichukua ktk uzi sawa eeeehhhh[emoji23] [emoji120]
At least that will give you more and enough time to concentrate on yo relationship and every productive thing in yo life.Sawa nmekuelewa ...let me stay quite !!.
Hahhaaaaa, huwa nawatamania sana wadada design hii mna kaupekee flani hivi kunako kwetu kuleeeeee lakini sitasema hapa hahahaaaaaHhhaaa ndio ka mimi hakoo
Yaaahh kweli aseeee , umesema kitu poaaaAt least that will give you more and enough time to concentrate on yo relationship and every productive thing in yo life.
Good lucky[emoji39]
Kwani MBITIYAZA mchafu mno humu ee